Wanawake Wanawapenda Zaidi Waliowatoa Bikra


Katika haya maisha tunakutana na mengi sana, juzi ndugu yangu kaishi na mke wake miaka 10 watoto wawili yule mke alipokutana na jamaa wa ujana wake kamkimbilia huyo na kumuacha huyu baba watoto wake, kwanini mwanamke iwe rahisi kumkubali mtu wako wa kwanza kuliko kuheshimu huyu uliye nae sasa.?

Inasemekana ukioa mwanamke asiye bikra tegemea sio wako peke yako kwanini wanawake wengi hawasahau mahusiano yaliyopita wanaume tunakubali yapite japo kimaumivu.
Theme images by hanoded. Powered by Blogger.