VPL KUENDELEA KESHO MCHEZO MMOJA, KESHO KUTWA MICHEZO 7




Ligi Kuu ya Vodacoma Tanzania bara raundi ya 18 inatarajiwa kuendelea wikiendi hii kwa michezo nane kuchezwa katika viwanja mbalimbali nchini, Jumamosi ukichezwa mchezo mmoja na Jumapili kuchezwa kwa michezo saba. 
Theme images by hanoded. Powered by Blogger.