VIDEO:Mahojiano ya CloudsTV na baba mzazi wa Diamond Platnumz nyumbani kwake Magomeni:

Abdul ni baba mzazi wa mwimbaji wa Tanzania Diamond Platnumz ambapo D’wikend chat show ya CloudsTV ilimfata na kumfanyia mahojiano nyumbani kwake Magomeni, kayazungumza mengi tokea wakati huo na sasa maisha yake na Diamond, tazama hii video hapa chini


Theme images by hanoded. Powered by Blogger.