TAARIFA ZA KIFO CHA MCHUGAJI GWAJIMA SI ZA KWELI

Habari wa somaji wa Jamjicho Blog, kuna taarifa zimeenea kwenye mitandao ya kijamii kuwa mchugaji GWAJIMA AMEFARIKI DUNIA, Kiukweli taarifa hizo si za kweli, kwakua mtumishi wa Bwana ni mzma na anaendelea na shughuli zake kama kawaida.  Endelea kutemblea blog yetu kwa taarifa zaidi  na za uhakika
TAARIFA ZA KIFO CHA MCHUGAJI GWAJIMA SI ZA KWELI GAZETI LA TANZANIA DAIMA LIMERIPOTI
Theme images by hanoded. Powered by Blogger.