Sugu: Mawaziri wanakimbizana kutumbua majipu kwa kutaka sifa
Mbunge mwenye kura nyingi kuliko yeyote yule amesema mawaziri wanapenda kutafuta majipu ya kutumbua kwa sifa ili kumfurahisha rais, mawaziri wanaona fahari kutengeneza jipu ili baadae waje wayatumbue ili waonekane wanafanya kazi vizuri