SABABU NA CHANZO CHA KUHARIBIKA KWA KURA NYINGI UCHAGUZI MKUU 2015
Pamoja na kutambua kazi kubwa iliyofanywa na Asasi za kiraia kwa kuweza kutoa Elimu ya mpiga kura na kuwahamasisha wananchi wote na wale wanaoishi maeneo yasiyofikika kwaurahisi kuweza kushiriki katika zoezi la upigaji kura.
Bado kulijitokeza changamoto za uelewa kuhusu alama sahihi inayohitajika kuwekwa katika karatasi za kura. Baadhi ya wapiga kura walikuwa wanaweka alama ya V kwa mgombea wanayemtaka na kuweka alama X kwa mgombea asiyemtaka na hivyo kupelekea kura nyingi kuharibika. BOFYA PLAY KUSIKILIZA.
