POLISI MKOANI KAGERA WAWATAWANYA WAFANYAKAZI KAMPUNI YA CHICO KWA MABOMU

#Habari:Polisi Mkoani Kagera wamewatawanya kwa mabomu wafanyakazi wa kampuni ya CHICO inayojenga Babarabara ya Kyaka Bugeni wakidai malimbikizo ya mishahara yao.
Theme images by hanoded. Powered by Blogger.