Polisi Dar wameamua, Majambazi 22 ndani ya siku 7…(+Video)
Jeshi laPolisi Dar limeendelea na Oparesheni ya kusaka na kuwakamata majambazi wanaotumia silaha pamoja na uhalifu mwingine, Feb 12 Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar es salaam Simon Sirro alikutana na waansishi wa habari kuelezea kuhusu hawa 22 walivyokamatwa.