New Audio| Dayna Nyange - Angejua


Mkali wa muziki wa bongo fleva mwana dada Dayna Nyange, ametuletea audio ya wimbo wake mpya wa angejua ambayo video yake kwa sasa inafanya poa sana. Wimbo umefanyika katika studio za Free Nation chini ya Producer MR: T

Download hapa
   
Theme images by hanoded. Powered by Blogger.