Watu waliojulikana ambao wanaingia visiwani unguja huko zanzibar wameendelea kuwavamia wananchi na wakazi wa zanzibar nakuwapiga mara kwa mara . watu hao ambao ni maarufu kama MAZOMBI wamekua wakifanya yote hayo lakini jeshi la polisi limedai kua halina taarifa Zao