MASANJA KUANZA KUTANGAZA KWENYE TV NA RADIO HII

Mchekeshaji maarufu nchini Tanzania Masanja Mkandamizaji amesema kuwa mpango wake mkubwa kwa sasa ni kufungua kituo chake cha radio na TV.
Masanja amefunguka hayo baada ya kuwepo kwa maswali mengi ya kwanini aliamua kwenda kusomea uandishi wa habari hapo nyuma ikiwa tayari ana nafasi kubwa kwenye vyombo vya habari.
“Plani ni kuja kuwa na kituo changu cha redio na televisheni kwa hiyo nahitaji kuvijua hivyo vitu kabla ya
kuvimiliki” alifunguka staa huyo toka Orijino Komedia na kuongeze kuwa mpaka sasa ana uwezo wa kufanya kazi ya
aina yoyote ile kwenye nyanja hiyo“.
Theme images by hanoded. Powered by Blogger.