ELIZABERT MICHAEL MAARUFU KAMA LULU AVISHWA PETE YA UCHUMBA


Elizabeth Michael aka Lulu amewaacha mashabiki wake njia panda baada ya kuweka picha inayoonesha amevaa pete ya uchumba.


Picha aliyoweka Lulu na kuibua maswali kibao kutoka kwa mashabiki wake


Kupitia ukurasa wake wa Instagram, mrembo huyo aliweka picha ya mitego ikiwa na caption ‘N.U.D.I’ na hivyo kuwaweka njia panda mashabiki wake.


Hizi ni baadhi ya comments za mashabiki:


Aubrey_bittoria. Is she engaged?



Ms_gikaro. Engagés or?




Richi_manyota. Ww lulu unatuuwa bhna
Theme images by hanoded. Powered by Blogger.