DUNI: BILA SUK, HAKUNA ATAKAYETAWALA Z’BAR

Makamu Mwenyekiti Mstaafu wa CUF, Juma Duni Haji amesema kuwa bila Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK), si Dk Ali Mohammed Shein wala Maalim Seif Sharif Hamad atakayeweza kuitawala Zanzibar.
Duni alisema hayo katika mahojiano maalum na Mwananchi alipokuwa akijibu swali kuhusu kauli ya Balozi Amina Salum, aliyesema kuwa anatamani SUK ivunjwe kwa kuwa baadhi ya viongozi hawana nia ya kuiendeleza, akimtaja Maalim Seif kuwa kikwazo.
...See More
Theme images by hanoded. Powered by Blogger.