KUTANA NA BINADAMU ALIYEKAA NDANI YA BARAFU KWA MASAA 2
Juzi katika pitapita zangu nilipata kumfahamu Wim Hoff kutoka Netherland,ambaye aliwashangaza watu baada ya kukaa kwenye Maji ya Barafu Kwa muda wa saa moja na dakika 42, bila kutoka kitu ambacho angefanya mwanadamu mwingine huenda angepoteza maisha.Picha hapa chini. Usikose Kali ya kesho gonga like hapo juu.