AJALI ENEO LA TABATA KONTENA LAANGUKIA MAGARI


 Lori la Mizigo lenye namba za usalili T 493 DBR limepiga mweleka na kuangukia basi la abiria aina ya Toyota DCM lenye namba za usajili T 104 BCT lifanyalo safari zake kati ya Gongo la Mboto mpaka Simu 

 
2000 mapema leo asubuhi katika makutano ya barabara ya Tabara na Mandela, jijini Dar es salaam. Hakuna aliepoteza maisha kwenye ajali hii ila kuna watu kadhaa wamejeruhiwa na kukimbizwa hospitali kwa matibabu.

Theme images by hanoded. Powered by Blogger.