ZARI THE BOSS LADY AWAKOSHA MASHABIKI WA WAKE NA DIAMOND PLATINUMS KWA PICHA HIZI

 
Zari the Boss Lady ‘Mama Tiffah’ amewakosha mashabiki wa penzi lake na Diamond ‘Baba Tiffah’ baada ya kubandika picha zake akiwa kijijini kwao pamoja na watoto wake na kuonekana anafanya kazi zote zan nyumbani kitendo ambacho kimewafanya mashabiki kumwagia sifa kuwa ni mwanamke anayeyaweza maisha yote tofauti na wengi walivyokuwa wakimfikiria hapo zamani.


Katika kunogesha Zari ame-edit picha ya diamond na kujiweka , kisha kaiweka na kuandika;
 


diamond31
Mmmmmh…. Ooh Ghafla visenti hana tumerudi Tandalee…. beautiful song, beautiful message, beautiful video #Utanipenda- Zari
Baadhi ya picha za Zari akiwa kijinini.
zari12zari032zari88
Theme images by hanoded. Powered by Blogger.