WEMA NA ZARI WAVUANA NGUO ISTAGRAM SOMA HAPA MATUSI WALIYOTUKANANA
Vita
vikali vya maneno vimezuka Instagram kati ya Zari the Bosslady na Wema
Sepetu. Vita hivyo vilianza baada ya kile kinachoonekana kuwa ni maneno
kutoka kwa kambi ya Wema Sepetu kwenda kwa Mama Tiffah.
Zari aliamua kutoa ya moyoni kwa kuweka comment kwenye post yake mwenyewe baada ya matusi kutoka kwa kambi ya Wema kuzidi.
“Fake
cars, fake houses, fake men, fake everything but they are here to
judge.. yall look like just had a fight with a tiger,” aliandika Zari.
“We
feel your pain Dee is a loving man. I know what you u missing but guess
what, I gat it all by myself. Sent to hell on a one way ticket buried
6ft under #Kasepa #HeIsHappyNow,” aliongeza.
Wema aliamua kutokaa kimya, naye alijibu mapigo.
“Damn, she really got da energy,” aliandika.
“Mi
siwezi jamani mambo haya. Kaka kajua kumchanganya dada. Sasa kama
kachanganyikiwa si yeye. Mi ningejua kuwa kuna siku nitakuja kummiss
kaka nisingemwacha. Akumbuke hilo kwanza. Halafu kingine, hivi mimi ni
mwanamke pekee niliyewahi kuwa na kaka au?”
“Maana
wenzangu naona hawatajwi ni Wemaa tu. Kuna kitu dada anakitafuta kwangu
jamani. Sasa dada kama atasoma hapa ajue this is 2016, afanye
mabadiliko basi maana tokea 2014 ana mimi tu, 2015 ana mimi tu na 2016
pia! Baby hujachoka tu bado? Nimejibu kwa mara ya kwanza maana naona
umekuwa ukinitafuta muda mrefu mno. Mi maneno kama hayo yako sijui fake
nini sinaga. But just if u read this honey, please nitoe kwenye ramani
yenu. I no longer live there. And kuhusu kuwa fake, mi nishakubali na
fake life yangu ila ningeomba utuwekee DNA ya Baby Tee kwanza. Pumbavu.”
Zari aliusoma ujumbe huo, akajibu:
“Ati
DNA for what let her start na DNA ya Swiss then atupe ultrasound kisha
ampime mtoto wake then she can ask for Tiffah’s. Hujawahi kuingia labour
at unaomba DNA. Wachana na mambo ya wazazi. Endelea kugawa that’s the
only thing you can manage. Mtoto wangu asikupe stress don’t beef with a
baby, find you levels, Tiffah level nyingine# BabyBoss.”
Wema alituliza mizuka kwa kuandika post: Mama Taught me well…!! Kugombana na mtu mzima ni kukosa adabu…. Sijafunzwa hivyo…!”