WASABATO WAPEWA MAELEKEZO MAPYA YA NDOA

3. Waraka ' tenganishi' kwa wanaofunga ndoa Kanisa la Wasabato
Imeripotiwa kutoka Mbeya kuwa Mwenyekiti wa Kanisa hilo kanda ya Nyanda za Juu Kusini ametoa waraka kwa waumini wake kuwa ili ndoa zao zifungwe kwenye kanisa hilo wasiwe waliopata kuugua magonjwa ya zinaa , upungufu wa damu na kutoa mimba. Ni habari yenye kukanganya na yenye sura ya kibaguzi. Inapewa nafasi ya tatu kwenye mtandao waMjengwablog.com.
Soma habari nyingine ikiwamo katuni bora ya leo. Ni kwenye www.jicho1.blogspot.com
Theme images by hanoded. Powered by Blogger.