Wakati CDM wakizidi kuimarika,wapi Wasira,wapi slaa?
Wakati wa miaka ya 2012 nilikatishwa tamaa na waziri wasira aliposema
kuwa cdm itakufa kabla ya 2014,niliogopa na kujutia uamuzi wangu wa kuwa
mwanachama wa cdm lkn ilipo fika 2015 baada ya uchaguzi mkuu yule aliye
itabilia kifo cdm kumbe ndiyo akaondolewa kwenye dunia ya siasa na
vijana wa cdm,na slaa alipohama cdm alisema anaamini ataondoka na vijana
wake na wapiga kura woote wa cdm,sasa slaa hasikiki na cdm inazidi
kuchanua,kweli mungu siyo Athumani