VURUGU KUBWA ZAIBUKA KANISANI BAADA YA WAUMINI KUMUVAMIA MCHUNGA KUTOKANA NA VITENDO VYA UDHARIRISHAJI KWA WANAWAKE(VIDEO)

#‎Habari‬:Vurugu kubwa zimeibuka katika ibada ya kanisa la Ebeneza la Kipentekoste wakimshusha mchungaji kiongozi wa kanisa hilo Musa Mlezi madhabahuni wakimtuhumu kuendesha kanisa hilo kinyume cha maadili na kuendekeza vitendo vya udharirishaji wa wanawake.
SOURCES ITV 
Theme images by hanoded. Powered by Blogger.