Unaelewa nini juu ya Israel?, Anza na hizo 07 za aina yake

1: Ni nchi pekee duniani yenye wasomi wengi maengineer,PHDs na Graduates (135 per 10,000).

2: Mwanasayansi Albeit Einstain 1952 Alipewa ofa ya Urais wa israel lakini aliona akatae.

3; Ndio nchi nyembamba unaweza kukumbia kutoka mashariki hadi magharibi kwa masaa mawili tu.

4;Dini ya waisrael NETUREI KATA inawaunga mkono waparestina na inahubiri israel ivunjwevunjwe kwa amani ili waparestina wabaki na nchi yao.

5:Baba wa taifa na mwanzilishi wa israel hii ya leo alikuwa ni ethiest/AAMINI UWEPO WA MUNGU aliitwa David Ben Gulion

6:Jiji la yerusalem tangu liwepo, limeshabomolewa na kuharibiwa kabisa mara mbili, kutekwa mara 23, Kuvamiwa mara 52, kutekwa na kukombolewa mara 44 na ni jiji kongwe sana duniani.

7:Chanzo cha uwepo wao ni familia ya jamaa aliitwa YAKOBO aliyekuwa na watoto 12. Familia moja ikazaa taifa.
 
Theme images by hanoded. Powered by Blogger.