UMEIPATA HII: PANGA LA MAGUFULI LACHINJA VICHWA 152

RAIS John Pombe Magufuli katika utawala wake mpaka sasa amekwishasimamisha jumla ya watumishi 152, hawa ni wale watumishi wa serikali waliosimamishwa kazi au kung'olewa nafasi zao za kazi kabisa. Hata hivyo Raisi anaendelea na utaratibu huo wakuwasimamisha watumishi wote wazembe kazini, akipewa ushirkiano mzuri na timu yake akiwepo waziri Mkuu Kassim Majaliwa.  SOMA ZAIDI MWANANCHI KWA HABARI KAMILI
Theme images by hanoded. Powered by Blogger.