Tunzo Ya Samatta yageuzwa Ya Kisiasa

ImageUploadedByJamiiForums1452511910.231588.jpg





Kuna vitu vinafanyika na wakati mwingine ukijiuliza wanaofanya wamejisahau au ni makusudi huwezi kupata jibu la direct.
Hivi,Tunzo ya samatta ni ya Ccm au ni ya watanzania?
Kwanini hii tunzo ipelekwe kwenye ofisi za ccm na si za umma?
Hivi bado kuna uchaguzi?
Au wanataka samatta ashabikiwe na wanaCcm tu?
Kwa mtindo huu soka letu litachelewa sana.
 
Theme images by hanoded. Powered by Blogger.