TAZAMA MAJANGILI YALIVYOTEKA MBUGA YA MAETU NA KUFANYA SHUMBULIO LA KUANGUSHA NDEGE
Kwa mara ya kwanza katika historia ya uhifadhi nchini Majangili wamempiga risasi na kumuua Rubani Roger na kuangusha helikopta aliyokuwa akitumia kwa risasi. Alikuwa akienda kuongeza nguvu ya askari wa uhifadhi waliokuwa wakipambana na majangili hatari wilayani Meatu, Simiyu katika ranchi ya wanyamapori ya Mwiba.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe akiangalia Helikopta iliyolipuliwa na majangili alipotembelea eneo la tukio
Damu kwenye kiti



