Rooney katika nafasi nyingine kwenye ubora wake…
Mshambuliaji wa klabu ya Manchester united Wyne Rooney ametangazwa kuwa mchezaji bora kwa mwaka 2015 kwa mara nyingine.
Hii inakuwa mara ya pili staa huyo wa England
kuchaguliwa mchezaji bora na mashabiki wa ligi kuu baada ya mwaka 2014
kushinda pia mwaka 2008 na 2009.
Pia kipa wa Stoke City Jack Butland amechaguliwa kuwa kipa bora kwa timu ya vijana chini ya miaka 21.
Rooney amefanikiwa kuibuka na shindi huo kwa mara nyingi baada ya kufunga jumla ya mabao 51 na kuvunja rekodi ya Bobby Charlton aliyefunga magoli 49.