RAIS DKT JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI AONESHA UMAHIRI WAKE WA KUSHONA

Rais Dkt
John Pombe Joseph Magufuli akionesha umahiri wake wa kutumia Cherahani
na kushona nguo za wafanyakazi wakati alipofanya ziara ya kutembelea na
kuvifahamu vitengo mbalimbali vya Ikulu jijini Dar es salaam Januari 20,
2016

Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiendelea kushona kwa ustadi wa hali ya juu

Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akimalizia moja ya nguo za wafanyakazi wa Ikulu.(P.T)