Mzee Majuto aibukia kwenye Bongo Fleva
Gabriel Ng’osha.
Vunja mbavu! Komediani the big name Bongo, Amri Athuman ‘Mzee Majuto’ au ‘King Majuto’ (68) ameibukia kwenye Muziki wa Bongo Fleva baada ya kushirikishwa kwenye ngoma inayokwenda kwa jina la Baba na Mjukuu Wake (mtoto wa mtoto wake wa kumzaa), Emmanuel Ernest ‘Dady.’

Akizungumza
na Ijumaa Wikienda, wikiendi iliyopita, Mzee Majuto, mbali na kumsifia
Dady kuwa ana kipaji cha uimbaji, alifunguka kuwa watu wengi hawajui tu
lakini ana vipaji vingi ikiwemo uimbaji kama ilivyo kwenye uigizaji na
utunzi wa sinema