Mwaka Mpya 2016 Ulivyokaribishwa Usiku wa Jana Escape 1, Mikocheni ...Picha



Watu mbalimbali waliofika Escape 1 kuukaribisha mwaka Mpya 2016.
Msanii Chemical ndiye aliyefungua pazia la burudani pande za Escape 1 kuukaribisha mwaka Mpya 2016.
Msanii Matonya akiwapa burudani mashabiki waliofika Escape 1 kuukaribisha mwaka Mpya 2016.

Madee akiwaburudisha wananchi waliofika Escape 1 kuukaribisha mwaka Mpya 2016.
Theme images by hanoded. Powered by Blogger.