Matokeo ya Wenyeviti/Makamu wenyeviti wa Kamati za za bunge, Chenge, Ngeleja Wafunika

Kufuatia uteuzi wa Wabunge katika kamati za Kudumu za Bunge uliofanywa na Mhe. Spika, Mhe. Job Ndugai, alhamisi tarehe 21 Januari 2016, kamati hizo za Bunge zilishiriki katika uchaguzi wa kuchagua Wenyeviti na Makamu wenyeviti wa Kamati za hizo na matokeo ya uchaguzi huo ni kama ifuatavyo:

1. Hesabu za Serikali (PAC)


1. Mwenyekiti

Uchaguzi haujafanyika

2. M/Mwenyekiti

Mhe. Aeshi Khalfan Hilary

2. Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC)

1. Mwenyekiti

Uchaguzi haujafanyika

2. M/Mwenyekiti

Mhe. Kange Lugola

3. Bajeti

1. Mwenyekiti

Mhe. Hawa Abdulrahman Ghasia

2. M/Mwenyekiti

Mhe. Josephat Sinkamba Kandege

4. Masuala ya Ukimwi

1. Mwenyekiti

Mhe. Hasna Mwilima

2. M/Mwenyekiti

Mhe. John Constantine J. Kanyasu

5. Sheria Ndogo

1. Mwenyekiti

Mhe. Andrew Chenge

2. M/Mwenyekiti

Mhe. William Ngeleja

6. Uwezekaji wa Mitaji ya Umma (PIC)

1. Mwenyekiti

Mhe. Richard Ndasa

2. M/Mwenyekiti

Mhe. Lolencia Bukwimba

7. Viwanda, Biashara na Mazingira

1. Mwenyekiti

Uchaguzi haujafanyika

2. M/Mwenyekiti

Uchaguzi haujafanyika

8. Katiba na Sheria

1. Mwenyekiti

Mhe. Mohamed Omary Mchengerwa

2. M/Mwenyekiti

Mhe. Najima Murtaza Giga

9. Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama

1. Mwenyekiti

Mhe. Balozi Adadi Rajabu

2. M/Mwenyekiti

Mhe. Masoud A. Khamisi

10. Utawala na Serikali za Mitaa

1. Mwenyekiti

Mhe. Jasson Rweikiza

2. M/Mwenyekiti

Mhe. Dr. Pudensiana Kikwembe

11. Huduma na Maendeleo ya Jamii

1. Mwenyekiti

Mhe. Peter Joseph Serukamba

2. M/Mwenyekiti

Mhe. Raphael Masunga Chegeni

12. Ardhi, maliasili na Utalii

1. Mwenyekiti

Mhe. Dr. Mary M. Mwanjelwa

2. M/Mwenyekiti

Mhe. Sixtus Mapunda

13. Kilimo, Mifugo na Maji

1. Mwenyekiti

Mhe. Mary Nagu

2. M/Mwenyekiti

Mhe. Dr. Christine Ishengoma

14. Miundombinu

1. Mwenyekiti

Mhe. Prof. Norman Adamson Sigara

2. M/Mwenyekiti

Mhe. Moshi Suleiman Kakoso

15. Nishati na Madini

1. Mwenyekiti

Mhe. Martha Mlata

2. M/Mwenyekiti

Mhe. Ussi Pondeza

16. Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge

1. Mwenyekiti

Uchaguzi haujafanyika

2. M/Mwenyekiti

Uchaguzi haujafanyika
Theme images by hanoded. Powered by Blogger.