MASIKINI JAMANI MLINZI WA LOWASSA ATIMULIWA AKIMBILIA KWENYE VYOMBO VYA HABARI KUTOA TAARIFA

Edward Lowassa amepata kuwa Waziri Mkuu na akahama chama kugombea urais kupitia upinzani. Imeandikwa gazetini leo, kuwa alitaka kuendelea kuwa mlinzi wa Lowassa, lakini, kuna vitu alishindwa kuvitekeleza kwa ufasaha, kitendo cha kuondolewa kimepelekea apeleke taarifa gazetini na ni kinyume na taratibu za kiusalama.
