Luis Suarez aweka rekodi Ulaya




Mshambuliaji wa Barcelona Luis SuarezLuis Suarez amekuwa mshambuliaji wa kwanza barani Ulaya kufikisha magoli 30 msimu huu wakati Barcelona ilipoifunga Athletic Bilbao 5-2 katika nusu fainali ya Copa del Rey.

Suarez akishangilia pamoja na wachezaji wenzake wa BarcaGoli lake la kipindi cha pili liliswazisha goli la Inaki Williams wa Athletic, kabla ya Gerard Pique hajafunga goli la pili kwa kicha 2-1 huku Neymar akifunga la tatu.
Theme images by hanoded. Powered by Blogger.