Listen/Download | NEW AUDIO: Linex – KWA HELA
HATIMAYE LINEX AMEACHIA NEW TRACK NYINGINE MPYA INAYOITWA “KWA HELA” NGOMA IMEFANYIKA PALE STUDIO ZA ‘HAPPY” CHINI YA PRODUCER MATATA ” EMA THE BOY”, WIMBO UMEPANGILIWA KWA USTADI WA HALI YA JUU NA MASHAHIRI YAMEKWENDA SHULE, KAMA KAWAIDA YAKE LINEX MWENYE SAUTI ISIYOELEZEKA AMEIMBA WIMBO HUO KWA HISIA NZITO SANA , KWA KWELI NI WIMBO MZURI SANA AMBAO UTASUMBUA SANA KWENYE VITUO MBALIMBALI VYA REDIO NDANI NA NJE YA NCHI. HUU NI MWENDELEZO WA KAZI NYINGI ZINAZOKUJA CHINI YA MENEJIMENTI MPYA YA LINEX SUNDA