LINEX ATOA SIRI YA MADEMU ALIYOWAKUTA WAKIWA BIKRA
“Unajua nchi za ukanda ule wa Scandnavia wanawake wanajitunza sana, na mzungu ndiye mwanamke pekee maishani mwangu niliyemkuta na ‘Bikira’” alisema.
Amesema mara ya mwisho kuwasiliana na binti huyo wa Kizungu ni baada ya kuonekana picha za ‘ndoa’ feki kwenye mitandao ya kijamii, hali iliyomfanya binti huyo kuamini kuwa Linex ameoa.