Kwa Haya Anayonifanyia Shemeji Ananitaka au Mawazo Yangu Tu?
Wadau
nipo nyumbani kwa takribani mwezi sasa baada ya kumaliza mkataba wangu
na kampuni flani.sasa hapa nyumbani ninaishi na wife na kidi wangu wa
miaka 3..na nimekuta wife kamleta mdogo wake wa kike ambaye amemaliza
chuo mwaka jana anasubiria ajira,sasa wadau wife wangu ni mfanyakazi so
mida mwingi anashinda job,mimi nipo tu home na shemeji yangu,kid
anapelekwa shule asubuh mpska jioni.shem huyu wadau ni mrembo sana ana
figure matata sana na ni mzuri kwa kweli..yani mitihani ninayoipata ni
mikubwa sana..mana nguo anazo vaa zinaonenya umbo lake namba 8
lilivyo,juzi asubuh nilikuwa nimelala akagonga chumbani kwangu anatafuta
kitu wakati kavaa khanga tu.jamani naombeni ushauri wenu nifanyaje
je?maana uzalendo unaelekea kunishinda asee.maana sasa imefika wakati
naliota umbo lake na uzuri wake nimechanganyikiwa.naombeni ushauri weni
wadau.
Asanteni
By Fukara
Asanteni
By Fukara