KAGERA SUGAR WAAMKIA KWA MBEYA CITY KATIKA MAKAZI MAPYA



Wakatamiwa kutoka Misenyi mkoani Kagera, Kagera sugar leo wamezunduka kwa Mbeya city FC baada ya kuibukana ushindi wa goli 2-0 katika mchezo uliochezwa katika uwanja wa Kambarage mkoani Shinyanga.

Katika mchezo huo, ambao ni wa kwanza kwa Kagera sugar toka wahamie katika uwanja huo, wakitokea katika uwanja na Ally Hassan Mwinyi mkoani Tabora, ambapo walikuwa na matoeko mabovu, walikwenda mapumziko wakiwa sare ya bila kufungana.

Mbeya city walijikuta wakiendelea kupoteza pointi katika michezo ya ligi kuu ya vodacom katika kipindi cha pili baada kuruhusu magoli mawili yaliyo ipa ushindi wa goli 2-0 Kagera sugar katika mchezo huo wa ligi kuu ya vodacom.
Theme images by hanoded. Powered by Blogger.