Joshua Nassari akiwa nchini China kununua vifaa vya kusaidia katika hospitali za Meru
Mbunge wa Arumeru mashariki Joshua Nassari yupo nchini China kwa ziara
ya kununua ya vifaa vya kusaidia hospital na vituo vya afya ambavyo vipo
ndani ya jimbo lake.
Nassari amekuwa ni Mbunge wa pekee anayetakiwa kuwa mfano wa kuigwa kwa wabunge wote bila kujali itikadi za vyama hongera sana Nassari.
Nassari amekuwa ni Mbunge wa pekee anayetakiwa kuwa mfano wa kuigwa kwa wabunge wote bila kujali itikadi za vyama hongera sana Nassari.