HATARIII;WAKATI MAALIMU SEIF AKIZIDI KUOTA URAIS ZNZ,DR SHEIN AZIDI KUKOMAA NA HILI MCHANA KWEUPEE


 
Sherehe za miaka 52 ya mapinduzi zinazidi kuendelea kisiwani Zanzibar ambapo rais wa Zanzibar Dr.Ali Mohamed Shein amelifungua jengo jipya la huduma za nje katika Hospitali ya Kuvunge  mkoa wa kaskazini Unguja.
Akitoa salamu zake kwa waananchi atika hotuba yake iliyosomwa kwa niaba yake na wazir wanchi ofisi ya rais Dr.Mwinyi Haji Makame ambaye alifungua jengo jipya la huduma za nje katika mkoa huo wa Kaskazini Unguja Dr.Shein amesema mapinduzi yameleta faida kubwa nchini kuna haja ya kulindwa  na kusisitiza azma ya serikali iko pale pale kuhakikisha kuwa wananchi wanapatiwa huduma za faya kama walivyoahidiwa baada ya mapinduzi ya mkaa 1964.
 
Mapema katibu  mkuu wizara ya afya Dr.Saleh Mohamed Jidawi amesema jengo hilo limegharimu msaada wa milioni 461 uliotolewa na  shirkia la HIPZ na wafadhili wengine wakiwemo mfuko wa bima ya afya ambapo kaimu mkurugenzi wa mfuko huo Bw.Michel Muhando amesema watahakiksiha hopitali hiyo inakuwa katika  daraja la wilaya  na watahahakisha  bima ya afya kwa wakazi wa wilaya hiyio inakuwa ya uhakika.
Theme images by hanoded. Powered by Blogger.