FURSA KUBWA; JE UNAPENDA KUWA MFANYABIASHARA MKUBWA UNGANA NA FURSA HII KUTOKA KWA HOMAMED DEWJI
Umeisikia hii fursa kwa wale wanaopenda kuwa wafanyabishara wakubwa? CEO wa METL na Mwenyekiti wa Mo Dewji Foundation,Mohammed Dewji wakishirikiana na Darecha anazungumzia shindano la Mo Entrepreneurs Competition walilolianda ili kukupa nafasi wewe. Tazama video ili uweze kushiriki na kujishindia hasa kwa wewe unayependa kuwa mfanyabiashara mkubwa hii inakuhusu sana.. SHARE na wengine pia wanufaike
