Emotional Love Story Must Read: SITOMSAHAU...

SITOMSAHAU...
Ni mwanamke ambaye niliamini yeye ni ubavu wangu.. nilimpenda nae akanionesha vionjo vya upendo mpaka ikanipelekea kumpa moyo wangu wote na kumtambulisha kwa mamangu kuwa yeye ni mkewe na pengine ni mriwaza wa moyo wangu, kwakuwa anasoma sikupenda kumvisha umama kabla sijamuoa mara zote nilimsihi aongeze bidii ktk masomo kwani nilijua wazaz wake walikuwa wakihis uhusiano baina yetu japo sis rasm hatukuwah kuwambia. bas nilijua asipopasi mtihan wake wangenichukia mim kuwa nimemfanya afeli masomo..
ilikuwa siku moja alinipigia cm kuwa anaomba niende kwao mara moja.. nilifika nikafunguliwa geti na mlinz nikamuuliza rozi yuko wapi, alivyonijib nikawa naingia taratibu ndan woga kidogo wa kukutana na wazaz wake huku nikiwa mwenye tashwishwi ya kujua rozi wangu anatatizo gan anatatizo gani,
wakati hayo yote yakifanyika pale nje kumbe rozi alikuwa akiniona kupitia dirisha, nilipofika mlangon mlango ulifunguliwa.. ile kutizama mbele nikamwona..(~~)
IT'S CONTUIN's

Theme images by hanoded. Powered by Blogger.