Dk. Mwakyembe ajilipua. Atoboa Madhambi ya Mahakimu, Makarani, Polisi na Magereza
Dk, mwakyembe ajilipua, ni baada ya kutaja madhambi ya mahakimu, makarani,polisi na magereza,Pia amekiri kuwa sekta ya sheria imegubikwa na majipu sugu, ataka yajipasue yenyewe kabla hajayapasua. Dk. mwakyembe Pia, ameapa hatakuwa tayari kuonekana Mzembe, kucheka na wala rushwa wote katika sekta hiyo
Source: Gazeti la UHURU