Cheki video ya goli na sehemu ya mechi ya Simba Vs JKU, Full Time Simba 1-0 JKU …
Usiku wa January 8 klabu ya wekundu wa Msimbazi Simba iliimaliza michezo yake ya hatua ya makundi ya michuano ya Kombe la Mapinduzi 2016, kwa kuitembezea kichapo cha goli 1-0 klabu ya JKU ya Zanzibar, huku goli hilo likifungwa na Jonas Mkude dakika ya 65 ya mchezo. Cheki video ya sehemu ya mchezo na goli lenyewe mtu wangu.