Basi la abiria la kampuni ya Luwinzo linalofanya safari za Dar es salaam
- Njombe limegongana na lori asubuhi hii likitokea Njombe kuelekea Dar.
Abiria wawili wameripotiwa kufariki dunia huku majeruhi wakiwa ni wengi. Ajali imetokea
maeneo ya Kinegembasi Kata ya Mbalamaziwa wilayani Mufindi.