The site for daily Tanzania Hard News and Entertainment
Home/Events/News/Basi la Kiruto Kutoka Kondoa Kwenda Dar Lapata Ajali Mbaya Gairo na Kuua Watu Kadhaa
Basi la Kiruto Kutoka Kondoa Kwenda Dar Lapata Ajali Mbaya Gairo na Kuua Watu Kadhaa
Basi la kiruto lililokuwa likitokea Kondoa kwenda Dar limepata ajali
mbaya maeneo ya Gairo ambapo gari hilo limeharibika vibaya na
Inasadikiwa watu kadhaa wamepoteza maisha na wengine
kujeruhiwa.