Askari Polisi Atiwa Mbaroni Jijini Mwanza Kwa Tuhuma za Mauaji
Jeshi
la polisi mkoani mwanza limemshikilia askari no.F.4965 PC JOEL FRANCIS
Kwa tuhuma za kumpiga na kumsababishia kifo kijana Donard Magalata
aliyekuwa akiishinaye nyumbani kwake
Askali
huyo alimpiga kijana donald mara baada ya kubaini kuwa pochi yake
iliyokuwa na kadi mbili za benk na kitambulisho cha kazi havipo.