TABWE MFUNGAJI BORA VPL

Tambwe aongoza katika ufungaji VPLTambwe ameendeleza kiwango kizuri baada ya leo kuifungia timu yake magoli mawili leo
Tambwe ameendeleza kiwango kizuri alichoa anza nacho msimu huu kwa kutupia goli mbili Yanga ikiichapa Mbeya City ka bao tatu bila majibu.

Msimu uliopita mfungaji bora alikua Simon Msuva wa Yanga pia na msimu kabla ya huo aliekua mfungaji bora alikua Tambwe pia.

Huu unaonekana kuwa msimu mzuri kwa Tambwe na timu yake ambayo bado imeendelea kuwa kileleni mwa ligi kuu ya Vodacom
Theme images by hanoded. Powered by Blogger.