Bendi ya Mapacha Watatu wameachia wimbo mpya wa kufungia mwaka unaitwa Kimatumatu. utunzi wake Khalid Chokoraa kazi ikiwa imetengenezwa na Erasto Mashine.