Mpya: Kwa Mara ya Kwanza Picha 25 Harmonize wa ‘Aiyola’ Alivyolitikisa Jiji la Tanga Dec 25

Harmonize ni moja kati ya wasanii walioibuka kwa kasi katika tasnia ya muziki hapa nchini, achilia uwezo wa kuimba pekee..! bali namna pia anavyoweza kulimiliki jukwaa, ni wengi hawajawahi kumshuhudia msanii huyu pindi awapo stejini, sasa hapa leo nakuweka karibu naye upate kushuhudia baadhi ya matukio yaliyojiri katika show yake ya kwanza aliyoifanya usiku wa Dec 25 2015 tangu ameachia ngoma yake ya ‘Aiyola’





Hii ilikuwa katika ukumbi wa Lacasa Chika uliopo Tanga
IMG_0001
IMG_0014
IMG_0015
IMG_0016
IMG_0020
IMG_0021
IMG_0022
IMG_0028




IMG_0033
IMG_0034
IMG_0035
IMG_0038
IMG_0042
IMG_0054
IMG_0059
IMG_0065
IMG_0068
IMG_0071
IMG_0072
IMG_0077
IMG_0079
IMG_0081




IMG_0092
IMG_0093
IMG_9998
Theme images by hanoded. Powered by Blogger.