MKUU WA MKOA KILIMANJARO AFYEKA MASHAMBA YA MIRUNGI
#YALIYOJIRI
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Amos Makalla, juzi aliwaongoza wajumbe wa
Kamati za Ulinzi na Usalama wilayani Same na wanafunzi wa mafunzo ya
uaskari wa Shule ya Polisi Moshi (MPA) zaidi ya 100, kufyeka mashamba ya
mirungi yenye ukubwa wa zaidi ya ekari 60.
Unadhani kwanini bidhaa hili ni maarufu zaidi mikoa ya kaskazini?
Unadhani kwanini bidhaa hili ni maarufu zaidi mikoa ya kaskazini?
