MADAWA YA KULEVYA BADO NI TATIZO HIKI NDICHO WALICHOKUTANA NACHO POLISI HUKO SIMIYU
Akiongea na waandishi wa habari jana katika kituo kidogo cha polisi
cha Lamadi wilayani Busega kamanda wa polisi mkoani Simiyu Germini
Mushy amesema.
Amesema kuwa magunia hayo sita yenye uzito wa kilo 269 yalikamatwa
kufuatia msako huo huku wamiliki wake watatu wakiyakimbia na kuacha
baiskeli zao walipoona polisi.
Aidha katika tukio lingine kamanda Mushy amesema kuwa mnamo disemba
22, mwaka huu majira ya saa 9 alasiri gari lenye namba T 366 VCJ
kampuni ya J4 lilikutwa na begi likiwa na mirungi yenye uzito wa kilo 20
ndani yake.
ITV