LIPUMBA: SHEIN KUBALI MATOKEO YA UCHAGUZI ILI TUSONGE MBELE
YALIYOJIRI
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim
Lipumba, amemtaka Rais wa Zanzibar, Dk. Mohammed Shein, kukubali matokeo
ya uchaguzi yatangazwe ili kuiepusha nchi kuingia kwenye machafuko.
Kama mtanzania mzalendo, nini maoni yako?
Kama mtanzania mzalendo, nini maoni yako?
